Monday, August 19, 2013

NIMEWAKUMBUKA SANA WAPENDWA WANGU

Habari ya siku nyingi wapendwa? Mwaendeleaje? 

Samahani sana kwa ukimya wa gafla uliokuwa umetokea, kwani nilikuwa busy kupokea Ugeni uliokuwa umetufikia nyumbani kwetu ambao ulisababisha nipotee gafla mahala hapa. 


Tunamshukuru Mungu tumejaaliwa kupata mtoto wa kiume aitwaye ALVIN, na sasa Likizo/mapumziko ya muda yameisha nitakuwa nanyi mezani hapa tuelimishane na kubburudishana kama ilivyokuwa ada yetu.


4 comments:

Rachel siwa Isaac said...

Hongereni sana. .Mungu azidi kumlinda katika yote baby Alvin.

Yasinta Ngonyani said...

eeeh jamani nimekumiss kweli kweli..HONGERA SAMNA SANA KWA KUPATA MTOTO ..MAMA NA BABA ALVIN

Ester Ulaya said...

Asanteni sana wapendwa wangu. Amen

Cymah Wandelt said...

Karibu tena my wii. Nimefurahi kuona umerudi tena. Mungu awe nanyi, busu to totoo ya auntie.