Thursday, April 18, 2013

KWA WAKAZI WA MWANZA

Hapa likitokea tetemeko la ardhi, hizo nyumba hapo chini lazima zidhulike, hilo jiwe jinsi lilivyo kubwa. Lakini Mungu anaendelea kuwalinda na janga hilo lisitokee

2 comments:

Yasinta Ngonyani said...

hakika hapo wajiadhari kweli,,,,tuombe mungu isitokee

Ester Ulaya said...

kweli dada, maana ni hatari