Friday, April 19, 2013

PICHA YETU YA SIKU

Mama mjasiliamali akikatiza beach kidimbwi na zana zake za kazi, nawapenda sana akina mama wanaojituma namna hii......tufanye kazi kwa bidii kuepukana na kashkash za hapa na pale

Ijumaa njema wapendwa

1 comment:

Cymah Wandelt said...

dah my wii umenikumbusha mbali. Mungu awabariki wamama wote wanaojituma.