Thursday, April 18, 2013

AKIWA NA MCHUMBA WAKE ENZI ZA UHAI WAKE

Bibi Kidudeenzi za uhai wake akiwa na Mr. CA wa Kajunason blog, alipenda kumuita mchumba

Ulalepema peponi bibi, poleni sana wafiwa wote na wanamuziki kwa msiba huu.

2 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Hakika huu ni msiba mkubwa kwa waTanzania wote na waZaanzibar...marehemu na astarehe kwa amani.

Ester Ulaya said...

Amen