Friday, December 21, 2012

NAFASI ZA KAZI YA UANDISHI WA HABARI/MPIGA PICHA


Kajunason Blog (www.kajunason.blogspot.com) inapenda kukutangazia nafasi ya kazi ya Uandishi wa Habari na Mpiga Picha kutoka mikoa ya:Mwanza nafasi 1
Arusha nafasi 1
Mbeya  nafasi 1
Dodoma nafasi 1
Dar es Salaam nafasi 2

Vigezo:

1. Awe na uwezo wa kupiga picha na kutumia komputa kwa ustadi mkubwa.
2. Mwenye elimu ngazi ya Cheti.
3. Mwenye mahusiano mazuri na jamii yake pamoja na viongozi mbali mbali wa Mkoa wake.
4. Uzoefu usiopungua miaka miwili (2) kazini.
5. Afya njema na uwezo wa kuhimili mikikimikiki.
6. Mwenye umri kuanzia miaka 24 na kuendelea mpaka 31.
7. Asiwe amewahi kupata makosa yeyote na kupelekwa kwenye vyombo vya sheria kwa makosa ya rushwa, wizi, unyang'anyi na ubakaji/unyanyasaji wa kijinsia.

Maombi yaambatanishwe na maelezo ya muombaji (Biography) pamoja na picha yako inayokuonyesha mwili wako wote (full size).

Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 27.12.2012

N:B Maombi ambayo hayatakuwa yamekamilisha viambatanisho hayatapokelewa.

Maaombi yatumwe:

Barua Pepe: cathbert39@gmail.com

No comments: