Monday, November 12, 2012

MEMA MARGARETH KITCHEN PARTY

Muhindi mwenyewe kapendeza

  
Shamim na Veila

Ladies
Friends Forever
 Mama mzaa Chema akiingia ukumbini huku akisindikizwa

Waka waka babyyyyyy
 Bibi Harusi mtarajiwa na mpambe wakeCake ya nguvu
 Jide's Hair Do......nimeipenda kweli hii style, ni nywele zake hizo

 Mama na Mwana wakilia kwa Furaha

Mtoto kwa mama lazima adeke

1 comment:

Yasinta Ngonyani said...

kwanza kabisa mumependaza sana na halafu napenda kumtakia bibi harusi mtarajiwa kila la kheri katika maisha ya ndoa.