Tuesday, September 18, 2012

NILIKUWA BUSY NA SAFARI WAPENDWA - RELI YA KATI HII

 Safari ya kuelekea Tabora ilianzia hapa........Nilikuwa sijasafiri kitambo na Train....nilipoambiwa zimeanza upya nikaona nisafiri na usafiri huu ingawa bado haujaboreshwa sana......nili enjoy...kunesa kwa sana
 Haloooo....Ndiyo.....Ndo nataka nipande.....sawa....Asante sana
 Happy Wife......
 Nikiingiza Mizigo chumbani

 Nikichagua upi unifaao
 Gogo
 Namba ya Behewa nililopanda
Jembe alikuwa sambamba kumsindikiza dada....MSHUA HAONEKANI PICHANI, alikuwa msindikizaji pia

Keep refreshing the Page....More photos zaja

2 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Hahahaaaaa Ester kumbe tupo wengi ambao hatuwezi kuchagua kama kuna vingi nimecheka kweli...Natumaini ulisafiri salama...

Ester Ulaya said...

Hahaha yaani eti nikawa naangalia upi unafaa au haujaana kuharibika...yani kuchagua ni balaa jamani hasa uwekewe vingi kwa pamoja