Wednesday, September 5, 2012

KITU CHA MAKANGE YA KUKU WA KIENYEJI NA SAMAKI SATO @KIJIJI CHA MAKUMBUSHO DAR

 SAMAKI SATO HUYO......NDANI YA VYOMBO VYA ASILI....VYUNGU
 HII ILIKUWA NI LUNCH.......MAKANGE YA KUKU NA UGALI....TULIFAIDIIIII
 UGALI LAINIIIIII......MAHARAGE, BAMIA NA MBOGA ZA MAJANI
HAPA ILIKUWA NI KIJIJI CHA MAKUMBUSHO DAR

6 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Ester! hii tabia si nzuri kabisa nitakushtaki..LOL yaani mate yalivyonidondoka ndo ndo ndo..hasa huyo msamaki yamu yamu yamu..wewe utamu huo mpaka nimepata hamu ila sasa itakuwa hamu ya kushiba katika picha tu...

Ester Ulaya said...

YAANI MBOGA ILIKUWA TAMU MNOOOO....YAANI NATAMANI KAMA NIENDE TENA KULA

Yasinta Ngonyani said...

Ukienda tena kula basi nikulie na mimi maana kwa macho tu inaonekana tamu kwelikweli...

R.Ngaiza said...

Jamani my wii chakula kina mvuto hicho, ila samahani naomba kuuliza makange ni nini? niliwahi kusikia kuwa ni matamu sana. mwaa

Ester Ulaya said...

Makange my wii ni namna ya kumpika kuku...hiyo style wanavyopika ndo inaitwa makange hahahhaha, kuelezea issue hapo

Anonymous said...

Dah..natamani kujua jinsi ya kupika makange ya samaki sato,nisaidieni jamani mana kuna mtu yuko adicted mnooo na naona aibu nikiwa naambiwa tutoke tukale samaki nje wakat ndani jiko lip...please,mnawexa nitumia through idda.mkoba@fmfc.co.tz