Wednesday, September 5, 2012

KAZI ZA GABRIEL MOLLEL: PATA YAKO MAPEMA
WADADA NA VIPOCHI VYAO
KIMTAANI ZAIDI

5 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Duh! mie naitaka hiyo ya kijani jamani....

Ester Ulaya said...

ZIPO NYINGI TU, NITAMWELEZA FUNDI AKUANDALIE KAMA STOKE ITAKUWA IMEISHA

Yasinta Ngonyani said...

Haya itakuwa bombi kwelikweli..si unajua ninavyokusanya begi/mikoba/pochi:-)

R.Ngaiza said...

usafiri sasa mpaka mlangoni hakuna cha mishikaki ni kila mtu na nafasi yake wacha we, hiyo mikoba niko tayari umegusa kwenye ini my wii, ngoja nishuke huko zitanikoma.

emu-three said...

Maendeleo, na urembo au sio