Friday, September 14, 2012

BIBI WA MIAKA 86 ATISHA KWA MAZOEZI YA VIUNGO

WORLD'S OLDEST GYMNAST AGED 86 PERFORMS JAW-DROPPING ROUTINE ON PARALLEL BARS
HAPO SASA
WACHA WEEE
BIBI NOMA
NIMEKUKUBALI
NA HII PIA
SALUTE KWAKO BIBI
HONGERAAAAAAAAAAAAA

MAKOFI LAZIMA YAPIGWE

2 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Duh! hakika bibi huyu ataishi miaka mingiiiiii kweli..

Ester Ulaya said...

yaani kaniacha hoi pia, ataishi mno huyu