REPORTER ANASEMA: Wanafunzi hao walifunga barabara. Mwalimu wao ameuza mbao za shule. Kawauzia wasomali wakajenga msikiti wakati wao hawana kanisa. Wameuchoma huo msikiti leo. Walikuwa hapo barabarani tangu saa tano usiku jana. Risasi zililia sana huko kijijini kwao. Waliamua kuturuhusu tupite baada ya kuwaomba waongee na wazee na serikali waepuke kupigwa risasi
Habari kamili itawaijia baada ya muda kidogo
1 comment:
Sina hakika sana na si imani yangu kuwa mikikimikiki ya migomo ndiyo suluhisho la kudumu la changamoto zinazoyahanikiza maisha na mafanikio yetu.
Post a Comment