Tuesday, July 10, 2012

MDAKOO.....ULISHAWAHI KUCHEZA


Walinikumbusha sana enzi zangu...lakini watoto wa mijini wengi wao hawachezi huu mchezo wao ni game tuu  za kwenye computer....hawa wapo kijiji cha Gumba Kisarawe....nilikuwa nao jumamosi siku ya saba saba
Hili Box ndo walikuwa wanaandika matokeo yao, yaani hata nilikuwa sioni namba ila wao wanaona na hawadhulumiani

Huyo mtoto wakiume aliibuka kidedea kwa kumshinda mdogo wake huyo wa kike kwa magoli 9 kwa 5

2 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Yaani mno mno...umenikumbusha zamani mweeeh unaachiwa kuchochea mboga lakini wapi mdako, rede, kuruka na kamba ....nk

Ester Ulaya said...

MIMI NILIUNGUZA SANA NYAMA NA MAHARAGE...YAANI DUH