Monday, June 11, 2012

RURAL & URBAN FASHIONISTAS

 Kitu cha Color Blocking...chezea bibi
Nimemiss kijijini kwetu
Unashangaa ee.......babu yenu ananikubali kwa mapigo
 Sai akiwa kijijini kwao....rangi vidoleni hizo

2 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Kwli nguo rangi jamani sio nyeusi na nyeupe tuuuu... Sai nimependa rangi yako ya kucha mwenyewe hapa nina ya kijani:-)

Ester Ulaya said...

Kapulya ni kweli usemalo, rangi mchanganyiko ina bamba sana