Monday, May 28, 2012

Three ways to wear bird printSiku hizi akina dada/mama tunaendelea sana kwenye maswala ya kwenda na wakati, wengi wao fashion haziwapiti, LANGU ni moja tuuuu kuhusu kwenda na wakati, tufanye kazi kwa bidii na kujivunia tulivyo na vyo hata kama una pea moja ya kiatu ni chako jivunie, tufanye kazi kwa bidii ili tujitahidi kutimiza malengo yetu katika swala zima la mitoko.

NAWATAKIA J3 NJEMA NA IWE WIKI YA MAFANIKIO

No comments: