Sunday, May 27, 2012

KALAMBO FALLS - SUMBAWANGA


Mambo.......poaaaa.....
Whats up........
Watoto wakiona Camera wanafurahia sanaaa
Watalii wa ndani wakizungukia maporomoko hayo
Inapendeza kuona hivi
Beautiful
Mazingira mazuri ya kuvutia
Nyuki hao, wakiwa ki familia zaidi
Na huyu ndo Reporter wetu wa matukio haya, asante sana Mfadafaaaaa Vero

2 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Hakika inapendeza sana ahsante kwa kutushirikisha!!

Ester Ulaya said...

Yasinta asante sana