Monday, May 28, 2012

MAGGIE AKILA RAHA LONDON

 @London Eye
 @London Bridge
@Wedding shop
@The Park, hilo tabasamu lako limejaa Nuru
@The PIT shop, hii kitu aliifurahia mnooo

Maisha yenyewe haya siku hizi hayaeleweki, furahi mama, ila usisahau kilichokupeleka hahahahaha

2 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Ni kweli mtu unaishi mara moja tu..kwa hiyo inabidi uyafurahie maisha pale inapobidi..

Ester Ulaya said...

Yaani Yasinta kusafiri rahaaa, unarelax na akili kupumzika