Friday, May 25, 2012

Mambo ya misosi...samaki wabichi ila spices kibao4 comments:

wise monica kaaya said...

Wooow ao Samaki wanavyo liwa!mi hoi

Yasinta Ngonyani said...

mmhh! mie huko sipo kabisaa...maana huu ni ukorofi sasa.

Ester Ulaya said...

ukweli mambo mabichi ya samaki mimi siyazimikii, lol

R.Ngaiza said...

Kweli sema sili siyo hatuli. Mi na roho yangu ndogo hapa hoi