Wednesday, April 25, 2012

SHUGHULI MBALI MBALI BARABARANI DAR - ARUSHA

Gari likisukumwa baada ya kuzimika

Hawa walikuwa wanauza mayai ya kienyeji na kuku wa kienyeji, raha iliyoje


Chalinze pako busy sana kwa biashara


Tatizo likitokea Police anawahi eneo la tukio
Poleni wapendwa kwa yaliyowakuta

No comments: