Friday, April 6, 2012

RURAL & URBAN NA MATUIO BAADHI YA BARABARANI YA DAR - ARUSHA

 Njiani kila dereva ana haraka
 Ajali kama hizi huwa ni nyingi tu
 Baadhi ya maeneo kulikuwa na ukungu sana
 Haya maeneo ni baada ya kuvuka mto Wami
 Ukungu + baridi = kazi kawa, wananchi wakienda kushughulika asubuhi na mapema


 Usalama upo hapa?????????
 Hata tujae vipi, lazima twende
 Njiani baadhi ya maeneo mvua ilikuwa inanyesha

 Moshi
 Moshi wasafi sana, utupe uchafu chini uone kesi yake, hadi utoe faini ya elfu 50 ndo uachiwe
 Kila dereva ana haraka, ni hatari tu

Kitu cha pasaka hiki jamani, unaanza na supu yake asubuhi, mchana kitu ndani ya pilau, jioni unamalizia na choma yae kwa kinywaji muruaaaa, Kanga hawa