Wednesday, April 4, 2012

INJILI INAHUBIRIWA POPOTE NA WAKATI WOWOTE BILA KUJALI MAHALI GANI INAHUBIRIWA

 Hawa waumini nilikutana nao kijiji cha makurunge-Bagamoyo siku ya jumamosi, wakiwa wanatumia kipaza sauti kuhubiri huku wakiwa na Biblia, walikuwa wanazunguka kwenye makazi ya watu wakihubiri, walipomaliza maeneo waliyopita wakaelekea kanisani kwao ambako walikesha wakisali
Na watoto nao waliguswa na neno wakaunga msafara, kila kitu kitapita Neno litasimama

No comments: