Tuesday, April 17, 2012

HATA HUKO MAMLAKA ZA USAFI WA MJI INAELEKEA ZINASAHAU KUFANYA USAFI, SIO BONGO TU

Helping hand: Jay-Z assisted Beyoncé as she stepped across a puddle in her high heeled shoes

2 comments:

ngaizaskids said...

Wanafanya ila watu wenye mawazo mgando wanaharibu hata kabla hajafika mbali. Juzi nilikuwa natoka shule wafagiaji walikuwa upande wa pili wanafagia, wameshasafisha kwenye parking panang'aa eti limtu linatoka garini nakutuka kimfuko tena sikidogo yaani nilikereka nikamwangalia kwa hasira akarudi garini huyo. Watu wengine sijui wakoje.

Yasinta Ngonyani said...

Haswa sio Bongo tu...