Friday, April 27, 2012

HAPA NA PALE MPIGI MAJOHE - DAR

 Barabara ya kuelekea Majohe ikiwa matengenezoni
 Ila itengenezwe yote, kwani nimeona mchanga umewekwa kipande kidogo

 Mama akiwa busy na biashara yake
 Banda la kuangalizia Movie
 Huu ni mgahawa, ila tulikuta hautumiki
Jamaa kaandaa zana ili achome mkaa

No comments: