Monday, March 12, 2012

HIZI SEHEMU BADO ZIPO

Hiki ni kibanda cha kuonyesha Movie kipo Goba Mtambani-Dar
Nakumbuka enzi zileeeeeee, zilikuwa zinaonyeshwa sana movie za kihindi nilianza kuangalia kwenye vibanda kama hivi, na akina Kanda Bongoman, Jean-Claude Van Damme,niliwaangalia sana sehemu kama hizi
Amitabh Bachchan, Govinda na wengine ilikuwa kwenye vibanda kama hivi ndo tukawafahamia huku, siku ya sikukuu watoto tunajazana humu
Hapa wanaonyesha hadi na Mpira, unaona antenna hapo juu, kwakuwa bado hakuna umeme, wanatumia Generetor. Hizi sehemu zinasaidia kwakweli, ni kiingilio chako tu

1 comment:

Sick by Trend said...

Thanks a lot! I'm following, follow me :)

xx

www.sickbytrend.com