Tuesday, March 20, 2012

Pictures of the Day

2 comments:

Simon Kitururu said...

Ila tusiwe tu na uhakika na PICHA- kwa kuwa mie ni miongoni mwa waaminio picha hudanganya zaidi ya maneno saa nyingi sana tu- ndio maana wengi WAMEGEUKA KIPICHA kuwa hata warembo KIPICHA kwenye FACEBOOK hata kipicha panya halinuni hivyo.

Ndio,...
.... saa nyingine maneno ndio ukweli- na walio tunga mpaka picha za YESU ambaye inajulikana hakuwahi kuchorwa au kupigwa picha labda iaminike kwa bila PICHA- inaaminika kwa kuwa kistori danganya toto mpaka picha za kutunga zinaaminisha kuna picha fulani ni ya YESU!


NAWAZA TU KWA SAUTI!

Ester Ulaya said...

napenda sana uwazavyo kwa sauti Simon