Thursday, March 15, 2012

AJALI AJALI AJALIGari iliruka kutokea barabarani mpaka kwenda kugonga mti chini kabisa kule, jamaa kapona kwa sababu hakufunga seat belt angekuwa ameifunga tunge mkuta tayari kesha rudisha hesabu... Mungu mkubwa, alitupwa nje kabla gari haijajigonga kwenye mti...Anaelezea mdau aliyenitumia picha hizi, ajali ilitokea last week Kitonga,ameshindwa kunitumia clip aliyorecord wakati wanamuokoa majeruhi huyo

No comments: