Tuesday, February 28, 2012

UVUMILIVU ULIMSHINDA AKAPANDA NA KANZU STEJINI

 Kanzu ilikunjwa, sebene likapigwa, viuno vikatawala
 Ilikuwa ni jumapili tukapita kupata mchemsho wa kuku, tukakutana na dance la nguvu
 Hapo sasa, burudani la nguvu
 Ilikuwa ni uhamasishaji wa Safari Lager Nyama choma, Tausi-Kinondoni, hiyo tausi imefika 20 bora na shindano bado laendelea
 Akapanda mwingine kuonyesha manjonjo yake
Tulicheka sana kwa kweli, jamaa alitufurahisha na uchezaji wake

3 comments:

monica kaaya said...

Hahahaha inaelekea mlifaidia sana natamani ningekuwepo,

monica kaaya said...

Hahahaha inaelekea mlifaidia sana natamani ningekuwepo,

Ester Ulaya said...

hahahaha kuna muda alikuwa anacheza hadi chini, watu waakaanza kushangilia