Thursday, February 2, 2012

DISCO VUMBIHapo sasa
Mara ya Mwisho ulicheza Disco vumbi lini? Hii ni Tabora

3 comments:

Missy Cheeks said...

what is the country?
thanks for your visit ;)
kisses

Majoy said...

hahahahahaa wee Ester wewe wakijua wenyewe.....yaani hapo wakitoka kila mtu ana mafua!!!

Ester Ulaya said...

hahahaha Majoy, watu hao walikuwa wanataka kila wakati wapigwe picha, mafua na kikohozi vilitawala