Saturday, October 18, 2014

UTAMADUNI WA MWAFRIKA, NA HIVI NDO TULIVYOJAALIWA NA MWENYEZI MUNGU



 Siku ya jumamosi mtaani Maputo huwa ni kama hivi, ni biashara kwa kwenda mbele

 Vitu vya asili, ki utalii zaidi
 Mataifa mbali mbali maeneo ya biashara hizi

 Vinyago
  


 Vibanio vya kichwani



 Vikoi vya kila aina


Kuzunguka na kuangalia biashara hizi ni utalii tosha....ukinunua unakuwa umeafanya vizuri zaidi, kusaidiana kiuchumi pia

Thursday, October 16, 2014

BARABARA YA MWALIMU JULIUS NYERERE - MAPUTO MSUMBIJI

Av. Julius Nyerere at Maputo - Mozambique

 Wanamuenzi babu yetu Nyerere, Baba wa Taifa la Tanzania. 
  Bara bara ya Julius Nyerere
 Nilifurahi sana nilipoona bango hilo, anaenziwa vizuri na majirani zetu
Yes....nikiwakilisha na Tshirt yangu ya Namba one fan wa Lady Jaydee

Monday, October 6, 2014

BIRTHDAY TRIP TO “XEFINA ISLAND - MAPUTO

Nikapewa zawadi ya Cake toka kwa Group, imeandikwa Kireno.


 Kwa upepo wa bahari ya Hindi ilibidi nikitumie kikoi changu ipasavyo
  Birthday Lady
Nikiwa na wamiliki wa Boat hii .... Mmoja aliwahi kuishi Zanzibar na mwingine aliwahi kuishi Dar akifanya kazi Wazo Cement... kwasasa wamestaafu wanaishi hapa Maputo wakifanya biashara moja wapo ni hii Boat yao. Kila jumapili inakuwa inapeleka watu kisiwani, wanafanya biashaa huku na wao waki enjoy. Maisha matamu bila stress

John and Marumoto
Parker
Andy


Tukabadilishana, ila kwenye playlist yake zimejaa nyimbo za watanzania, kweli wakenya wanatukubali

Saturday, October 4, 2014

HAPPY BIRTHDAY TO ME : TEAM LIBRA

NAMSHUKURU MUNGU KUNIJALIA UZIMA NA UHAI HADI LEO. 

NAWASHUKURU SANA WAZAZI WANGU KWA KUNILETA DUNIANI NA KUNILEA VEMA KIMAADILI NA KUNIPA MAHITAJI YOTE MUHIMU AMBAYO MTOTO ANATAKIWA KUPEWA. 

NAMSHUKURU MUME WANGU KUWA NAMI BEGA KWA BEGA KATIKA MAISHA YA KILA SIKU NA UPENDO ULIO NAO KWANGU NA MTOTO WETU ALVIN. 

 PIA MARAFIKI NI SEHEMU YA MAISHA YANGU, SIWEZI KUWASAHAU KWAKWELI MAANA MMEKUWA NAMI KATIKA SHIDA NA RAHA MUNGU AZIDI KUWABARIKI. 

MWAKA HUU HII SIKU IMENIKUTA MSUMBIJI, NAONGEZA MWAKA NIKIJIFUNZA NENO LA KIRENO. MUNGU NAOMBA UZIDI KUNIPA UMRI MREFU WENYE HEKIMA, KUSALI, UPENDO, MAFANIKIO NA HESHIMA SIKU ZOTE.  AMINA

Nikiwa na rafiki kutoka Commoro

Nikiomba nijaribu kuendesha


Nikijifunza

Captain nielekeze wapi nibonyeze speed iongezeke




Mapose tu ya picha


Mama Alvin

Mrs CA

PRE BIRTHDAY DINNER 
Baada ya shughuli za siku, Wakasema kwakuwa tunakaribia kusherehekea siku yako ya kuzaliwa tukupeleke mahari tupige story mbili tatu
 Andy, Marumoto, Parker, John and Ester
 Wareno na mbwembwe zao, ikaletwa nyama mbichi juu ya jiwe la moto, STEAK STONE
Misosi ya Kataa Unene Family ...Salad
 Nyama ikichomwa, jiwe likiivisha
 Andy akifanya mambo
 David Parker
 Nyama ikiiva. Mjapani akigeuza geuza iive
 Nyama laiini na tamu kama ya Kongwa Runch



Nili enjoy hasaa.  Ilipofika saa 6 nikaimbiwa na kutakiwa mema, Asante sana Mungu