Saturday, October 4, 2014

HAPPY BIRTHDAY TO ME : TEAM LIBRA

NAMSHUKURU MUNGU KUNIJALIA UZIMA NA UHAI HADI LEO. 

NAWASHUKURU SANA WAZAZI WANGU KWA KUNILETA DUNIANI NA KUNILEA VEMA KIMAADILI NA KUNIPA MAHITAJI YOTE MUHIMU AMBAYO MTOTO ANATAKIWA KUPEWA. 

NAMSHUKURU MUME WANGU KUWA NAMI BEGA KWA BEGA KATIKA MAISHA YA KILA SIKU NA UPENDO ULIO NAO KWANGU NA MTOTO WETU ALVIN. 

 PIA MARAFIKI NI SEHEMU YA MAISHA YANGU, SIWEZI KUWASAHAU KWAKWELI MAANA MMEKUWA NAMI KATIKA SHIDA NA RAHA MUNGU AZIDI KUWABARIKI. 

MWAKA HUU HII SIKU IMENIKUTA MSUMBIJI, NAONGEZA MWAKA NIKIJIFUNZA NENO LA KIRENO. MUNGU NAOMBA UZIDI KUNIPA UMRI MREFU WENYE HEKIMA, KUSALI, UPENDO, MAFANIKIO NA HESHIMA SIKU ZOTE.  AMINA

Nikiwa na rafiki kutoka Commoro

Nikiomba nijaribu kuendesha


Nikijifunza

Captain nielekeze wapi nibonyeze speed iongezeke
Mapose tu ya picha


Mama Alvin

Mrs CA

PRE BIRTHDAY DINNER 
Baada ya shughuli za siku, Wakasema kwakuwa tunakaribia kusherehekea siku yako ya kuzaliwa tukupeleke mahari tupige story mbili tatu
 Andy, Marumoto, Parker, John and Ester
 Wareno na mbwembwe zao, ikaletwa nyama mbichi juu ya jiwe la moto, STEAK STONE
Misosi ya Kataa Unene Family ...Salad
 Nyama ikichomwa, jiwe likiivisha
 Andy akifanya mambo
 David Parker
 Nyama ikiiva. Mjapani akigeuza geuza iive
 Nyama laiini na tamu kama ya Kongwa RunchNili enjoy hasaa.  Ilipofika saa 6 nikaimbiwa na kutakiwa mema, Asante sana Mungu

2 comments:

Yasinta Ngonyani said...

HÓNGERA SANA KWA SIKU YAKO YA KUZALIWA. HALAFU ULIPENDEZA NIMEPENDA VAZI LAKO

Ester Ulaya said...

Asante sana dada yangu kipenzi