Thursday, January 30, 2014

AJALI: AKATWA MKONO BAADA YA KUPATA AJALI MBAYA WILAYANI SAME

Bwana Pray God aliumia na mkanda wa mashine ya Crusher inayosaga mawe kuwa kokoto
Aliumia juzi maeneo ya Dott Service Ltd, Engineering Contractors Sawen wanatengeneza barabara ya Same Mkumbara
Ajali hiyo ilipelekea kukatwa mkono juzi katika hospitali ya KCMC Moshi


Pole sana Bwana Pray God

Shukrani sana reporter wetu kutoka Same.......Rural and Urban Blog inakushukuru na kuwapeni pole

Monday, January 20, 2014

KOMANDO JIDE......A.K.A. WALLET.......YES...BOSS LADY....THE QUEEN HERSELF...HONGERA SANA







KUFANYA KAZI KWA BIDII NA KUJIAMINI KUNALIPA SANAAAA.......NA HAPA UNAZIDI KUTUFUNDISHA ZAIDI......HONGERA SANA JIDE.....MUNGU AZIDI KUKUINUA......AM SO HAPPY FOR U

Friday, January 17, 2014

Sunday, December 29, 2013

KATAA UNENE FAMILY - NI RAHA TUPU KWENYE FAMILIA HII

 HII SIKU TULIENDA KUSHIRIKI UHURU MARATHON TAREHE 8/12/2012
 ADMIN ANGELA MSANGI AKIELEZEA JINSI DIET NA MAZOEZI YANAVYOISAIDIA FAMILIA






 MATOKEO YATOKAYO KWENYE FAMILIA HII NI POSITIVE HADI RAHAA


 MAZOEZI KWA SANAAA

SAFI SANA

Saturday, December 28, 2013

ILIKUWA NI XMAS YAKE YA KWANZA ILIYOJAA BARAKA NA UPENDO TELE

 Kwiyooooooooo
 Xmas ya kwanza ya baby Alvin - 2013
 Akiwa na baba yake - Xmas Day
 Boxing Day......siku aliyobatizwa na kupokelewa rasmi katika u-kristo
 Blessed Family
 Tukiwa na baba wa Ubatizo wa Alvin, Mr. Deogratius
Alikuwa kalala na maji yalivyokuwa ya baridi akashtuka analia hadi huruma.....akaendeleza mbonji tena...hongera sana mwanetu
 Alvin akiwa na Father/Paroko Syril ndo aliyembatiza
 Tukiwa na shangazi mdogo wa Alvin
Msosi time
 Selfie
Mungu twaoma uendelee kuibariki familia hii.....Amen

MVUA HIZI NA SAFARI NI MUNGU TU NDO ANAYEBARIKI SAFARI ZETU