Thursday, January 30, 2014

AJALI: AKATWA MKONO BAADA YA KUPATA AJALI MBAYA WILAYANI SAME

Bwana Pray God aliumia na mkanda wa mashine ya Crusher inayosaga mawe kuwa kokoto
Aliumia juzi maeneo ya Dott Service Ltd, Engineering Contractors Sawen wanatengeneza barabara ya Same Mkumbara
Ajali hiyo ilipelekea kukatwa mkono juzi katika hospitali ya KCMC Moshi


Pole sana Bwana Pray God

Shukrani sana reporter wetu kutoka Same.......Rural and Urban Blog inakushukuru na kuwapeni pole

No comments: