Saturday, December 28, 2013

ILIKUWA NI XMAS YAKE YA KWANZA ILIYOJAA BARAKA NA UPENDO TELE

 Kwiyooooooooo
 Xmas ya kwanza ya baby Alvin - 2013
 Akiwa na baba yake - Xmas Day
 Boxing Day......siku aliyobatizwa na kupokelewa rasmi katika u-kristo
 Blessed Family
 Tukiwa na baba wa Ubatizo wa Alvin, Mr. Deogratius
Alikuwa kalala na maji yalivyokuwa ya baridi akashtuka analia hadi huruma.....akaendeleza mbonji tena...hongera sana mwanetu
 Alvin akiwa na Father/Paroko Syril ndo aliyembatiza
 Tukiwa na shangazi mdogo wa Alvin
Msosi time
 Selfie
Mungu twaoma uendelee kuibariki familia hii.....Amen

1 comment:

Joyce Mahila said...

Hongera sana dady n mamy Alvin....Mungu azidi kuubariki umoja wenu.....kisses kwa baby Alvin