Nyumba ya mwalimu wa Gumba...nimeipenda
Nyuma ya Bango ndo Garden yenyewe...duh
Bibi akiwa na Wali ndo wametoka siku chache zilizopita...ni mtu na dada yake...Bibi yeye anasema enzi zake alikaa mwaka mzima ndani akitawa ndo akaletewa Mchumba akolewa...alikuwa ni miongoni mwa wake wanne wa mumewe....ila hakuwahi kubahatika kupata mtoto.....wote hao ni Wazaramo...bibi akasema kuwa kipindi chao unaweza ukawekwa Mwali hata miaka 7 hadi upate mume, tofauti na siku hizi
Watoto wakicheza
Mama akifanya mambo jikoni
Msosi Time
Machenza...matamu hayoo
Nikajitahidi kuchuma baadhi ya kula hapo hapo shambani kabla Babu hajanipa ya kubeba


































