Friday, September 12, 2014

HIZI SIMU ZA CAMERA UKICHANGANYA NA MITANDAO YA JAMII IMEKUWA NI TATIZO

BADALA YA KUMSAIDIA MTU MWENYE TATIZO WATU WAKO BUSY KUPIGA PICHA....HII IMETOKEA NIGERIA

2 comments:

sam mbogo said...

Kunakitu umenikumbusha baada ya kuona picha hiyo. Nijinsi gani sasa watanzania tunatumia teknolojia bila hata kiasi au staha. Hizi simu za kamera siyo chochote ukionacho lazima upige.mfano huyomtu aliye jinyonga nikwakiasigani unauhakika uta hifadhi hiyo picha bila kuleta madhara kwa mtu mwingine mfano ndugu au jamaa,waweza dhani umesaidia kumbe umevuruga.nadhani kuna taratibu kuhusu hilijambo. mbaya zaidi nikuzipiga picha maiti,picha watu wako uchi nk.nakuzituma kwenye vyombo vya habari navyo huzitoa picha hizo kama zilivyo. nihatari. kaka s

Ester Ulaya said...

kweli kaka Sam ni shida hapa. haipendezi kabisa