Tuesday, September 16, 2014

BABA MWEMA NI YULE ANAYEIJALI FAMILIA KWA VITENDO

HONGERENI SANA BABA WOOTE MSIOKWEPA MAJUKUMU YA FAMILIA ZENU

3 comments:

sam mbogo said...

Haya kazi kwelikweli, nawatakia kila lakheli wababa wote wenye moyo huu/huo wa kusaidiana na wakezao katika malezi ya watoto.Ingawa nikiziangalia picha hizi kwa uhalisia wake kuna mambo mengi nayaona kwa undani kabisa kuhusu dhamira yao katika kumkombowa mwanamke na mfumo dume. kaka s

Ester Ulaya said...

kaka SAM umeona eee

Yasinta Ngonyani said...

Inapendeza kuona kuna akina baba wanafanya hivyo: Hongera kwa familia ambazo zinafanya hivyo!!