Friday, April 5, 2013

USAFI NA USALAMA WA CHAKULA NA MAJI: SEHEMU YA PILI

Usafi wa vyombo

1. Osha sawasawa vyombo vilivyotumika kutayarishia vyakula vibichi hasa nyama, samaki, au mayai kabla ya kuvitumia kutayarishia vyakula vingine.








2. Ni muhimu kuwa na kichanja cha kuanikia vyombo.








3. Hakikisha sehemu ya kuhifadhi vyombo ni safi na kavu

4 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Umenikumbusha mbali sana ..kuwekeana zamu ya kufanya usafi kama huu nilipokuwa kadala/kachiki...

emuthree said...

Nimeipenda hii maana imeonyesha hali halisi ya maisha yetu, ....maana wengine wangeliweka nyumba ya kifahari, meza la bei mbaya...eeh, HONGERA MPENDWA

Mija Shija Sayi said...

Nimeipenda hii Ester..blogu yako ina vitu na maisha halisi ya mwafrika..

Inahitaji Tuzo kwa kweli..

Interestedtips said...

Asanteni sana dada zangu......napenda kweli uafrica wetu