Thursday, April 4, 2013

MUWE NA WAKATI MWEMA....AFYA NI MUHIMU ZAIDI


3 comments:

Yasinta Ngonyani said...

mmmhhh hapa pazuri sana...ama kweli afya kwanza mambo mengine baadae...uwe na wakati mzuri nawe pia na wengine wote watakaopita hapa:-)

emu-three said...

Ni kweli mpendwa bila afya ni sawa na gari lililokufa injini

Ester Ulaya said...

Asanteni kupita humu ndani...Afya ni muhimu sana hasa kupitia maakuli