Friday, March 15, 2013

IJUMAA YA LEO TUCHANGAMSHE MACHO KWA KUANGALIA MIELEKA YA KIHINDI: TRADITIONAL INDIAN WRESTLING

 Huwa napenda sana kuangalia hii mieleka, inanifurahisha sana
 Pumzi lazima ikate kwa muda kwa mtaji huu
 Mhhhhhhhhh
 Mbavu hizo zitavunjika jamani
 Kudadadekiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 Jamani Shingo yanguuuuuuuuuuuuuuu
 Refa akiwa busy Kazini

 Mshindi huyo
 Ngwe nyingine hiii
 Lazima kieleweke leo
 Jaji Akitabasamu, paparazi pembeni akifanya shughuli yakeDuh
 Sarakasi tenaaaaaaaaaaaaaaSource: Kushti - Traditional Indian Wrestling

No comments: