Wednesday, February 27, 2013

YALIYOJIRI JIJINI ARUSHA WIKI 2 ZILIZOPITA

@KIA

MAMA MZAZI NA MAMA MKWE WAKIWA JIKONI KWA PAMOJA-ARUSHA
MR. & MRS. CA
ILIKUWA NI FURAHA MWANZO MWISHO
RAFIKI YANGU MWAJUMA NILISOMA NAYE NGANZA A LEVEL
MAPAMBO

NDAFU
MAJANI YA NG'OMBE
WAPENDA NYAMA HAPA TULIKAMATIKA
YA KUCHOMA
KWANINI HAZILETWI DAR?????? TAMU SANA HIZI
KICHWA CHA NG'OMBE KIMECHARANGWA TAYARI KWA SUPU
MAKONGORO HAYAKUWA NYUMA
MWENDO WA KUIVA TUUUUUU
KUNI ZIKIPASULIWA
SUPU YA ULIMI NA MKIA
ULIMII

YAM YAM
USAFI NI MUHIMU,MWANAFUNZI AKIFUA NGUO ZAKE ZA SHULE

No comments: