Thursday, February 7, 2013

KAZI NI KAZI..........KUMBUKUMBU: 2010

 Hii ilikuwa Tabora


Hii part nikiikumbuka huwa nacheka mno, nilipojaribu kupanda nikawa naona kizungu zungu, nikaomba apande kwanza mkaka ndo nami niende juu
 Akapanda mkaka nami sasa nikapata ujasiri

 


Hatimae kazi ikafanikiwa na nikashuka

2 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Ama kweli yataka ujasiri..ila ukiipenda kazi yako basi utafanikiwa.

Ester Ulaya said...

ni kweli kabisa dada Yasinta