Thursday, February 7, 2013

HUYU ATAKUWA SI MTOTO WAKE NA HANA HURUMA KABISAAA KWA WATOTO......KAMA NI MAIGIZO HUU NI UNYANYASAJI AISEE

2 comments:

Cymah Wandelt said...

moyo wangu jamani my wii usiku wangu umegawanyika vipande, huyu alitaka kumuua maskini mtoto

Cymah Wandelt said...

imenikumbusha ya yule mama wa malaysia jamani nililia kidogo roho izime humu duniani kuna unyama kama humpendi mtot si bora umpeke hata kituo cha police umtupe hapo jamani wasamalia wamuokote kwan nini jamani sisi wanawake tunakuwa hivi lakini? roho imeniuma sijui hata kama nitalala.