Friday, January 18, 2013

AFRICA INAFANANA

 Hapa ni Rwanda.........jamaa akiwa ardhini, eidha alishafariki au njaa kali au kazidiwa
Lakini watu wanampita tu bila hata kuwa na habari, hii hata bongo ipo hii, unapitwa tu bila watu kujali....ni wachache sana huwa wanachekiwa......lakini waewezakuta ni mbinu tu za aliyelala ukimsogelea kumsaidia unapigwa kabali ya fasta

Asante mdau kwa picha hizi

3 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Kweli inafanana!!

Cymah Wandelt said...

maskini kweli Africa ni moja tu, hata kama ulikuwa na ka uhai kamebakia hakuna wa kukafanya kaendelee kuishi unalala mpaka unakufa. Ee Mungu ibariki Africa

Ester Ulaya said...

Kweli my wiii....Mungu atubariki tu kwakweli mengine yanakuwa nje ya uwezo wetu hata kuyatatua