Thursday, December 27, 2012

X-MAS ILIKUWAJE WAPENDWA?.......NIWAKUMBUSHE KIDOGO YALIYOJILI MWAKA JANA

X-mas yangu mwaka huu iliisha vizuri sana....hapa ni jioni  ilikuwa Nyumbani lounge kuimalizia siku hiyo


Hapa ilikuwa ni X-mas ya mwaka jana Tabora.....nikikumbuka nafurahi sana na ninazidi kui miss familia yangu maana hii dansi ilikuwa ni balaaaaa
Tulipokuwa wadogo nakumbuka Baba alikuwa anatuwekea mziki tushindane....sasa ile hali imetujenga hadi leo mziki ukipigwa ndani ni shangwe tu....wakati wa sendoff yangu na ya mdogo wangu show ilichezwa na watoto wa familiani tu........
Hapo sasa ni mwendo wa style tuuuuu....Baba na Mama wao walikuwa kazi yao ni kucheka tu hasa wakiona watoto wao tukiwa busy namna hii

Party ikiendelea....kifamilia zaid...
Haposasa.........Mwaka huu sikuweza kwenda Tabora nasubiri tu story niambiwe ilikuwaje maana duh....

Naamini wapenzi wa blog hii mlikuwa na sherehe njema, nawatakia heri zaidi ili mwaka mpya tuupokee vizuri na tuwe makini zaidi maana mwisho wa mwaka na hizi sherehe mengi hutokea.

Mimi penda sana watu wangu wote


4 comments:

Majoy said...

Nice pic Esther umenikumbusha home na sie huwa tunafanyaga hivyo ni kucheza kuanzia za rose mhando mpk segere lol....i miss home kwa kweli mwe! I wish u and your family Happy Holidays!

Ester Ulaya said...

Majoy thanx a lot mamie...yaani huwa ni full raha.....nanyi pia nizidi kuwatakieni afya njema na likizo njema ya msimu huu tuuvuke mwaka salama

Mija Shija Sayi said...

Hadi raha yaani...

Ni furaha sana kuwa na familia iliyoshibana..

Nawatakieni sikukuu njema..

Ester Ulaya said...

asante sana Da'mija nanyi pia, twawamiss huku bongo