Wednesday, December 12, 2012

MACHINJIO YA KUKU YALIYOPO SOKO LA MANYANYA, DAR...

DUH
 Mmoja ya wachinjaji wa kuku akiwajibika katika machinjio ya kuku yaliopo Soko la Manyanya, Kinondoni jijini Dar es Salaam. Machinjio hayo yanahitaji uangalizi wa hali ya juu likiwemo suala la usafi ili kuepuka magonjwa ya kuambukiza.
Wafanyakazi wa machinjio hayo wakichemsha maji ya ajili ya kunyonyoa.
Kila mmoja akiwa akifanya kazi kwa bidii, pembeni ni pipa lililojaa uchafu.
Ukiangalia suala la usafi ni muhimu, angalia jinsi huyu mfanyakazi akiwa ameweka kuku chIni baada ya kuwatengeneza.

PHOTO CREDIT: KAJUNASON BLOG

No comments: