Tuesday, October 23, 2012

LEO TUTUMIE MAJI YA KISIMA

 Ni Kirefu sana na maji yapo chini kabisa
Bila kamba ndefu huwezi kuyafikia....... Kwa msaada wa huyo kaka maji yalichotwa
Hatimae vyombo vikajaa

ANGALIZO: Tukumbuke kuchemsha maji kabla hatujanywa, itatusaidia kuepuka kipindipindu, homa ya matumbo(typhoid), Amoeba na magonjwa mengine yaambukizwayo kwa njia ya maji

No comments: