Wednesday, October 24, 2012

KUTANA NA MUUZAJI WA MIWA

Kumbukumbu ya miwa pande za kasokola-Mpanda mjini muuzaji mbwa!

2 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Mie naona alikuwa mlinzi huyu mbwa..umenitamanisha hiyo miwa ila hii ni kazi yako kutamanisha watu vitu adimu kama hivyo:-)

Ester Ulaya said...

miwa ya mpanda mitamu sana....hahahah huyo mlinzi muuzaji dada