Saturday, September 29, 2012

TUZURURE KIDOGO MAENEO YA MJINI TABORA

 Tabora mjini....bango linasema AHADI NI DENI.......
 Leo Jumamosi kumetulia....hakuna msongamano sana mitaa hii
 Baskeli zikiwa sokoni
 Kwenye bidhaa kawaida watu hawapungui........si mwajua mitumba wengi wetu twaivaa....lazima tujazane huku
 Mitumbani.......ukipita upande wa kulia utakuwa unaelekea soko kuu la mjini Tabora
 Maeneo ya Isevya-Tabora, hili ni soko dogo la Isevya
 Hili soko dogo la Isevya bado halijachangamka sana
 Wakiwa kazini kuponda kokoto, maeneo ya Muhalitani-Ipuli
Mnyama akiwa na afya nzuri...no alama ya viboko mwilini

No comments: