Sunday, September 30, 2012

SUPU YA KONGORO KWA AFYA: JUMAPILI NJEMATAMU MNOOOOOO, NI KONGORO LA NG'OMBE HILI.....KARIBUNI

5 comments:

Yasinta Ngonyani said...

inaonekana n i TAMUUUUU KWELIKWELI..ila naomba kuuliza KONGORO NI NINI?

Ester Ulaya said...

ILIKUWA TAMU SANA DADA....HILI NI KONGORO LA NG'OMBE, ILE MIGUU YA NGO'OMBE INACHUNWA KITAALAMU INAKATWA VIPANDE INAPIKWA NDO INAKUWA HIVI....UNAWEKA CHUMVI TU

emu-three said...

Supu ya kongoro, duuh kweli tamu, ndugu wangu inaonekana hujaishi kwenye mifugo, mmh, ndiye wale wakiona ng'ombe wanasema zinga la mdudu..lol

Yasinta Ngonyani said...

Ahsante kwa ufafanuzi ...na nimekumbuka sasa.

Majoy said...

Nimetamaniiiii mpk nshashiba lol!