Monday, September 3, 2012

HII MNAIONGELEAJE WADAU...


ANAENDESHA GARI KABEBA MTOTO MKONONI......USALAMA U WAPI KWA MTOTO??

2 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Hii kali ya mwaka..hapo hakuna kabisa usalama..

Ester Ulaya said...

yaani hatari mnooooooo