Saturday, September 22, 2012

ASUBUHI YA SAA 5 SIKU YA ALHAMISI TAREHE 20/09/2012 TULIKUWA NA MISA YA SEND OFF NYUMBANI: PRE SEND OFF


Bibi Harusi Mtarajiwa akiwa kapose......Manju Msita Designs
Mhanjumati yakiandaliwa

Akina mama wakiwa Busy kuweka mambo sawa matumbo yatendewe haki

Baba na Mwana
Baba, Mtoto na Mama
Cousins
Madada na Mtarajiwa
Misa time

Waumini wakifuatilia Misa
Mwanamke Jichooooooooo
Misa ikiendelea
Wanakwaya wa Mtakatifu Gregory wakiimba
Ubatizo ulifanyika pia.....huyu dada harusi yake ni tarehe 22/09/2012 ambapo ni leo
Mtarajiwa wa Kiume (wa pili kusoto) akiwa na Baba yake Mkubwa
Kwaya
Tukiwa na Padre Kalaso
Familia
Pendeza sanaaaaaaaaaaaaa
Baba akimtambulisha mtoto kwa Waumini waliohudhuria misa
Watu weweeeeeee
Mwanamke vyombo vya kupikia mme na wageni
Safi sanaaaaaaaaaa

2 comments:

Mija Shija Sayi said...

Esther mdogo wako ni mzuriiii...utasema wa kuchora yaani..!! Kaka mtu ana kila haki ya kusema anamkabidhi mdogo wake bila doa.."asinyanyaswe" (kaka naye ana mkwara..!!)

MMEPENDEZA SANA..

Ester Ulaya said...

Kaka mtu ana mkwara huyooooo......kwakweli ashukuriwe Mwenyezi Mungu, Asante Da Mija